Mjue Mwanadamu Nguvu Zilizomo Ndani Yake.
Mchapishaji
Lantern-E-Books
Lugha
Swahili

Azima Kitabu Hiki

Expires on January 06, 2026

TSh 3,600/=

Chagua

MAELEZO YA KITABU

Kabla ya mwanadamu kuuliza dunia ni nini, alipaswa ajiulize: "Mimi ni nani?" Kitabu hiki si cha kujibu tu, bali cha kufungua mlango wa ndani mlango ambao wengi huupita wakidhani ni ukuta.

Ndani ya kurasa hizi, msomaji atasafiri kwa miguu ya fahamu, kupitia misitu ya asili, upepo wa ndoto, na milima ya tahajudi. Atakutana na ukweli wa nguvu zilizopo ndani ya mwili na zile zinazozunguka nje ya mipaka ya macho. Kutoka kwa uhalisia wa maumbile hadi ushawishi wa nguvu ya kujamiiana, kutoka kwa kivuli cha uchawi hadi mwanga wa kiutambuzi haya ni mafumbo ambayo hayahitaji kuaminiwa, bali kuamshwa ndani ya nafsi yako mwenyewe..